Wednesday, 21 January 2015

KEJO NYAMA CHOMA FESTIVAL YAFANA

Kejo community mnamo wa tarehe 17/1/2015 waliukaribisha mwaka kwa kufanya shehere iliyokuwa na utofauti zaidi ya hile mwaka jana sherehe iliuzuriwa na viongozi wawili wa serikali ya mtaa akiwepo Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ya Keko mwanga A ndugu Mh.Elizaberth Tossy akiongozana na mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ya Keko Magurumbasi A Ndugu Mh.Ismail Rusheshumwa..
Robert mlowoka mwenyekiti wa kejo akitoa risala kwa viongozi na wanachama
Utani wa hapa na pale ukiendelea
Mama mlezi akitoa shukrani kwa viongozi waliofika na kwa wanachama
Mama mlezi akiwa na mwenyekiti wa kejo
Safu ya wanachama wa kejo
Mda wa maakuli kwanza
Katibu akijichana na mwanachama wake
Mwenyekiti wa Magurumbasi Mh.ismail Rusheshumwa akiongea mambo machache na kuchangia shilingi laki moja(100,000/=) kwa kikundi
Mwekahazina akipokea fungu la laki moja kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa keko mwanga a mh.Elizaberth Tossy
Wanachama bora wa mwaka ndugu muddy na pendo wakipewa zawadi zao
Muda wa maakuli
Mwekahazina akitoa pongezi kwa wageni
Komandoo mama mlezi wa kikundi mam humphrey akitoa shukrani kwa niaba ya kikundi
Mama walezi wakipokea fungu kutoka kwa mgeni rasmi
Muda wa maakuli ukiendelea
Mwenyekiti Elizaberth Tossy akiongea na wanachama wa kejo

Monday, 29 December 2014

KEJO NDANI YA KISARAWE

Wanachama wa Free jogging wakipandisha mlima
Mbio zikiendelea
Baada ya mbio mapumziko ya hapa na pale
Mbio zikiendelea
Bwana yusto mwenyekiti wa kamati kuu akishauriana jambo na mwanachama mwenzie welu
Hapa ndio kisarawe mjini wanachama pamoja na viongozi wakipata picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Ndugu michael mtono katika picha ya pamoja na diwani wa kisarawe pia ni meya wa jimbo hilo
Wanachama wa kejo
Hapa ndipo kisarawe mjini picha ya pamoja
kuanzia kulia aliyesimama katibu msaidizi benjamini msegele,anayefuata kamanda mkuu jafari rajabu,katibu mkuu fabian mtono,ibrahimu maalimu,godfrey sungura na kwa waliokaa kutoka kulia kifli zuri na mama mlezi mama baraka
Picha ya pamoja
Wanachama pamoja na diwani wa kisarawe
Picha ya pamoja ya wanachama wa kejo wakiwa na mbunge wa kisarawe
Picha ya pamoja na mbunge pamoja na diwani
Wanachama wa kejo pamoja na mwanachama wa kisarawe jogging
Picha na mbunge
Wanachama wa pugu jogg pamoja na mbunge wakiwa na mwanachama wa kejo godfrey sungura
Micchezo ikiendelea
Kisarawe jogg wakimaliza mbio
Katibu mkuu ndugu Fabian mtono akiwa katika jengo la mbunge wa kisarawe
Free jogging wakimaliza mbio
Mbio zikiisha
Wanamichezo wakipata maji baada ya mbio

Tuesday, 23 December 2014

KEJO KUFANYA SAFARI YA KIJAMII MKOA WA PWANI

Kikundi cha michezo cha keko al maharufu KEJO COMMUNITY kitafanya matembezi ya kijamii kwa mkoa wa pwani itakapotimia mtataaarifiwa

Monday, 10 November 2014

KEJO YAPATA UGENI KUTOKA KISARAWE JOGGING

Kikundi cha kijamii kinachojiusisha na michezo cha Keko jogging almaarufu kama Kejo community jumapili ya tarehe 9/11/2014 kilipata ugeni kutoka na wana michezo kutoka kisarawe kiitwacho Kisarawe jogging,kejo kama ni kama desturi yao kuwakaribisha vikundi mbalimbali kutoka mikoa yote ya Dar es salaam nia ni kujifunza na kutengeneza wigo mpana wa kujifunza vitu mbalimbali vya kimaendeleo kutoka vikundi vya jogging tunawakaribisha kila kila mtu kutoka mkoa wowote hule.Kisarawe joging ilikuwa klabu ya pili kuitembelea klabu ya kejo jogging ikiongozwa na mkurabita karibuni sana wana kisarawe jogg "Kwa niaba ya kejo jogging nawahaidi nasi tutajipanga kuja kisarawe kushiriki nanyi huko" hayo yalikuwa maneno ya katibu wa kejo pia mwenyekiti wa kisarawe jogging alifurahi kwa mapokezi mazuri waliyoyapata kutoka kejo jogging "tunawaahidi tutakuwa pamoja kwa hali na mali" alijinadi mwenyekiti wa kisarawe jogging

Wanachama wa kejo wakiwa na wanachama wa kisarawe jogging wakipata chai kwa pamoja
Afisa habari humphrey shao akinena machache na wana michezo kiujumla
Mwenyekiti msaidizi ndugu Robert Mlowoka akifurahi jambo pamoja na wanachama wa kisarawe jogging
Tukijipanga tayari kwa mbio za pole
wanamichezo wakisubiria maelekezo kwa makamanda wa barabarani
Mmoja wa mwanachama wa kisarawe jogg  bwana shivo akionyesha umaili wake wa mapigo ya kichina

Monday, 20 October 2014

BONANZA LA KUCHANGIA DAMU SASA MIPANGO YAANZA KUPAMBA MOTO


Kikundi pendwa cha kijamii cha keko kinachotaraji kufanya bonanza la kuweka historia kuliko mabonanza yote yaliyowahi kufanyika sasa mipango imekaa sawa na michakato kuanza mara moja mwandishi wetu alipomuuliza katibu mkuu Fabian Mtono alijinadi "kwa kweli ishu kubwa ilikuwa inatukwamisha ni mawasiliano na watu wa Damu salama maana bonanza letu linawalenga wao sasa bila wao kutupatia vifaa vya kutolea damu tusingeweza kufanya chochote kwa hiyo watu wa damu salama wamekubali kufanya kazi na sisi"pia katibu aliomba kwa makampuni pamoja na vikundi na mashirika binafsi kujitokeza kwa wingi kwa kuzamini bonanza hilo pamoja na kuchangia damu...pia kejo hiko mbioni kufanya mazungumzo yakinifu na meneja mahusiano wa mpango wa taifa wa damu salama ndugu Dkt Efesper Nkya..


KAMA KAWAIDA MAZOEZI NDIO MSINGI WETU MKUU