Thursday, 16 January 2014
KEJO KUTIMIZA MWAKA MMOJA INATARAJIA KUWEKA HISTORIA
Kikundi pendwa cha kijamii KEJO COMMUNITY chenye makazi yake KEKO mowlem tarehe 9/2/2014 kinatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake sherehe hiyo itaambatana na sherehe kubwa kwa kualika vikundi vya jogging vipatavyo 150 na zaidi sherehe itakayosindikizwa na burudani na michezo kabambe,sherehe hiyo itafanyika katika ukumbi wa Darlive mbagala na mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Michezo na vijana Mh.fenella Mkangalla akisindikizwa pamoja na waziri wa sheria na katiba Mama agellah kairuki,waziri wa ajira na kazi mama mh.Gaudensia kabaka pia atakuwepo mama sophia simba waziri wa jinsia na maendeleo ya jamii pamoja na mbunge wa Temeke ndugu Abbas zuberi mtemvu akisindikizwa na Diwani wa keko ndugu Francis Mtawa tunawakaribisha wote wenye mapenzi mema na KEJO COMMUNITY.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment