Monday, 29 December 2014

KEJO NDANI YA KISARAWE

Wanachama wa Free jogging wakipandisha mlima
Mbio zikiendelea
Baada ya mbio mapumziko ya hapa na pale
Mbio zikiendelea
Bwana yusto mwenyekiti wa kamati kuu akishauriana jambo na mwanachama mwenzie welu
Hapa ndio kisarawe mjini wanachama pamoja na viongozi wakipata picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Ndugu michael mtono katika picha ya pamoja na diwani wa kisarawe pia ni meya wa jimbo hilo
Wanachama wa kejo
Hapa ndipo kisarawe mjini picha ya pamoja
kuanzia kulia aliyesimama katibu msaidizi benjamini msegele,anayefuata kamanda mkuu jafari rajabu,katibu mkuu fabian mtono,ibrahimu maalimu,godfrey sungura na kwa waliokaa kutoka kulia kifli zuri na mama mlezi mama baraka
Picha ya pamoja
Wanachama pamoja na diwani wa kisarawe
Picha ya pamoja ya wanachama wa kejo wakiwa na mbunge wa kisarawe
Picha ya pamoja na mbunge pamoja na diwani
Wanachama wa kejo pamoja na mwanachama wa kisarawe jogging
Picha na mbunge
Wanachama wa pugu jogg pamoja na mbunge wakiwa na mwanachama wa kejo godfrey sungura
Micchezo ikiendelea
Kisarawe jogg wakimaliza mbio
Katibu mkuu ndugu Fabian mtono akiwa katika jengo la mbunge wa kisarawe
Free jogging wakimaliza mbio
Mbio zikiisha
Wanamichezo wakipata maji baada ya mbio

Tuesday, 23 December 2014

KEJO KUFANYA SAFARI YA KIJAMII MKOA WA PWANI

Kikundi cha michezo cha keko al maharufu KEJO COMMUNITY kitafanya matembezi ya kijamii kwa mkoa wa pwani itakapotimia mtataaarifiwa

Monday, 10 November 2014

KEJO YAPATA UGENI KUTOKA KISARAWE JOGGING

Kikundi cha kijamii kinachojiusisha na michezo cha Keko jogging almaarufu kama Kejo community jumapili ya tarehe 9/11/2014 kilipata ugeni kutoka na wana michezo kutoka kisarawe kiitwacho Kisarawe jogging,kejo kama ni kama desturi yao kuwakaribisha vikundi mbalimbali kutoka mikoa yote ya Dar es salaam nia ni kujifunza na kutengeneza wigo mpana wa kujifunza vitu mbalimbali vya kimaendeleo kutoka vikundi vya jogging tunawakaribisha kila kila mtu kutoka mkoa wowote hule.Kisarawe joging ilikuwa klabu ya pili kuitembelea klabu ya kejo jogging ikiongozwa na mkurabita karibuni sana wana kisarawe jogg "Kwa niaba ya kejo jogging nawahaidi nasi tutajipanga kuja kisarawe kushiriki nanyi huko" hayo yalikuwa maneno ya katibu wa kejo pia mwenyekiti wa kisarawe jogging alifurahi kwa mapokezi mazuri waliyoyapata kutoka kejo jogging "tunawaahidi tutakuwa pamoja kwa hali na mali" alijinadi mwenyekiti wa kisarawe jogging

Wanachama wa kejo wakiwa na wanachama wa kisarawe jogging wakipata chai kwa pamoja
Afisa habari humphrey shao akinena machache na wana michezo kiujumla
Mwenyekiti msaidizi ndugu Robert Mlowoka akifurahi jambo pamoja na wanachama wa kisarawe jogging
Tukijipanga tayari kwa mbio za pole
wanamichezo wakisubiria maelekezo kwa makamanda wa barabarani
Mmoja wa mwanachama wa kisarawe jogg  bwana shivo akionyesha umaili wake wa mapigo ya kichina

Monday, 20 October 2014

BONANZA LA KUCHANGIA DAMU SASA MIPANGO YAANZA KUPAMBA MOTO


Kikundi pendwa cha kijamii cha keko kinachotaraji kufanya bonanza la kuweka historia kuliko mabonanza yote yaliyowahi kufanyika sasa mipango imekaa sawa na michakato kuanza mara moja mwandishi wetu alipomuuliza katibu mkuu Fabian Mtono alijinadi "kwa kweli ishu kubwa ilikuwa inatukwamisha ni mawasiliano na watu wa Damu salama maana bonanza letu linawalenga wao sasa bila wao kutupatia vifaa vya kutolea damu tusingeweza kufanya chochote kwa hiyo watu wa damu salama wamekubali kufanya kazi na sisi"pia katibu aliomba kwa makampuni pamoja na vikundi na mashirika binafsi kujitokeza kwa wingi kwa kuzamini bonanza hilo pamoja na kuchangia damu...pia kejo hiko mbioni kufanya mazungumzo yakinifu na meneja mahusiano wa mpango wa taifa wa damu salama ndugu Dkt Efesper Nkya..


KAMA KAWAIDA MAZOEZI NDIO MSINGI WETU MKUU


Sunday, 5 October 2014

KEJO KUANDAA BONANZA LA KUCHANGIA DAMU SIKU YA DAMU DUNIANI

Kile kikundi cha kijamii kinachopatikana maeneo ya Keko Mowlem kiitwacho Kejo Community wano itakualetea bonge la bonanza siku ya kuchangia damu.Bonanza hilo likiendana na uzinduzi mkubwa wa movie ya mwanachama wa kejo Bonanza hilo litapambwa na manguli ya bongo fleva pamoja na bendi za kisasa zinazofanya vizuri hapa Tanzania pia wasanii wa Bongo movies wameapa kutoa mchango wao kwa hali na mali....kejo inawaomba wapenda michezo na wote wenye moyo wa kusaidia waje kuchangia damu..na pia kejo inaomba ushirikano kwa kampuni atakae guswa na shughuli hii kwa kuzamini bonanza...

Monday, 15 September 2014

KEJO YAFUNGA MWAKA NA MAMBO MAWILI

Kile kikundi cha kijamii kimeamua kufanya mambo mawili makubwa ya kijamii ambayo yatapambwa na burudani kubwa ya kutosha na kuwaalika wasanii wakubwa wa movies pamoja na wanamuziki wa kitanzania.......STAY TUNE!!!!!!!!!!!!!!!!!

Monday, 4 August 2014

KEJO COMMUNITY YAFANYA UTALII WA NDANI YA SAADAN PARK YACHUKU A MASAA NANE NJIANI

Fuvu la tembo nje ya geti la saadani
Ngedere akikatiza mitaa
Polini Nyani wadogo wengine walizani ngedele
Ngedele
Ngili
Ngili akikata mitaa
Ndani ya Camp ya saadan
Ufukwe safi wa Saadan
Game likiendelea kati ya simba na yanga
Mh.Mtawa akifurai jambo
Mtawa katika pozi la picha
Katende akijidai
Katende kafurahi kuendesha
Hapa watu ndipo walipochoka baada ya kuona bado kilometa 54 kufika saadani
Hapa tena hoi bado kilometa 23 watu walishachoka vibaya
Nje ya geti la saadan kuingia ndani bado ilikuwa kilometa 10 mungu kaibariki tanzania kwa kuwa na eneo kubwa sana
Picha zikiendelea
Picha ya pamoja ya wanachama
Kama kawa
First ladies
Picha ya pamoja kwa furaha
Ngedele akitalii
Hapa tembo walitaka kuaribu safari ya kuingia mbugani
Hotea ni wanyama gani?
Fuvu la Tembo

Kejo kwa pamoja wakiwa na furaha
One two

Safari ya kutazama wanyama
kejo
Beach safi ya saadani park mechi ikichezwa ya kipinzani kati ya simba na yanga
Utani wa hapa na pale ukitawala
Safari ya mbugani ikianza
Kama kawa kwa furaha zote
Furaha ikiendelea
Kejo kwa furaha
Kejo na mwanachama mpya
Furaha ikiendelea
Kejo wakiwa katika furaha kwa kupiga picha ya pamoja
Nje ya geti la saadan
Katibu Mstaafu
Yusto,Jailo,Ventola,fabian wakiwa katika picha ya pamoja
Katibu wa zamani nje ya geti la saadan
Wana kejo wakipata kitafunwa baada ya mapumziko mafupi