Tuesday, 25 February 2014
Monday, 10 February 2014
NEW KEJO IS BORN AT DARLIVE
![]() |
Bonge la nyomi |
![]() |
Mwenyekiti akipunga mkono |
![]() |
Mtemvu akimwaga sera kwa wanachama |
![]() |
Kusoma hujui basi hata picha |
![]() |
Wakati wa risala |
![]() |
Afisa habari wa kejo humphrey shao akimkaribisha mgeni rasmi |
![]() |
Mama mlezi wa kejo jogging akizungumza machache kwa watoto wake |
![]() |
On the stage wakati wa risala |
![]() |
Kwa furaha kejo queens wakiserebuka kwa staili yao |
![]() |
Utajiri wa kejo ulianzia hapa |
![]() |
Mc nasly akiwarusha watu |
![]() |
Kisungura na muddy kutoka sinza mjengoni |
![]() |
On the stage |
![]() |
Kama kawa |
![]() |
Katibu katika pozi baada miangaiko ya mwezi mzima hatimaye leo ndo mapumziko |
![]() |
Mdogo mdogo |
Munge wa kigamboni Mh.faustine Ndungulile alikuwa kama mgeni mwalikwa |
Hapa akitoa zawadi kwa washindi wa Mpira upande wa vijana |
Hapa upande wa vijana |
Washindi wa pili upande wa vijana |
Washindi wa netball |
Mshindi upande wa ngumi |
Mshindi upande wa ngumi |
Mheshimiwa akifurai jambo na wana kejo community |
Mh.Mtemu akinandi Tshirt za Kejo Community kwa njia ya kuchangia mfuko wa kejo alinunua kwa millioni moja |
Happy birhday kejo |
Bahati kutoka kejo community akimkabizi zawadi ya keki mh mtemvu |
Subscribe to:
Posts (Atom)