Kikundi cha kijamii KEJO COMMUNITY yafanya safari ya kwenda mbugani
kutembea vivutio vilivyobarikiwa na mwenyezi mungu kiwapo mto wami,mto
ruvu pamoja na pangani mkoani Tanga licha ya hivyo Kejo ilifanikiwa
kuwaona wanyama waliopo katika hifadhi hiyo ya saadan park iliyopo mbele
ya bagamoyo mpakani na mkoa wa Tanga
Fuvu la tembo nje ya geti la saadani |
Ngedere akikatiza mitaa |
Polini Nyani wadogo wengine walizani ngedele |
Ngedele |
Ngili |
Ngili akikata mitaa |
Ndani ya Camp ya saadan |
Ufukwe safi wa Saadan |
Game likiendelea kati ya simba na yanga |
Mh.Mtawa akifurai jambo |
Mtawa katika pozi la picha |
Katende akijidai |
Katende kafurahi kuendesha |
Hapa watu ndipo walipochoka baada ya kuona bado kilometa 54 kufika saadani |
Hapa tena hoi bado kilometa 23 watu walishachoka vibaya |
Nje ya geti la saadan kuingia ndani bado ilikuwa kilometa 10 mungu kaibariki tanzania kwa kuwa na eneo kubwa sana |
Picha zikiendelea |
Picha ya pamoja ya wanachama |
Kama kawa |
First ladies |
Picha ya pamoja kwa furaha |
Ngedele akitalii |
Hapa tembo walitaka kuaribu safari ya kuingia mbugani |
Hotea ni wanyama gani? |
Fuvu la Tembo |
Kejo kwa pamoja wakiwa na furaha |
One two |
Safari ya kutazama wanyama |
kejo |
Beach safi ya saadani park mechi ikichezwa ya kipinzani kati ya simba na yanga |
Utani wa hapa na pale ukitawala |
Safari ya mbugani ikianza |
Kama kawa kwa furaha zote |
Furaha ikiendelea |
Kejo kwa furaha |
Kejo na mwanachama mpya |
Furaha ikiendelea |
Kejo wakiwa katika furaha kwa kupiga picha ya pamoja |
Nje ya geti la saadan |
Katibu Mstaafu |
Yusto,Jailo,Ventola,fabian wakiwa katika picha ya pamoja |
Katibu wa zamani nje ya geti la saadan |
Wana kejo wakipata kitafunwa baada ya mapumziko mafupi |