Monday, 20 October 2014

BONANZA LA KUCHANGIA DAMU SASA MIPANGO YAANZA KUPAMBA MOTO


Kikundi pendwa cha kijamii cha keko kinachotaraji kufanya bonanza la kuweka historia kuliko mabonanza yote yaliyowahi kufanyika sasa mipango imekaa sawa na michakato kuanza mara moja mwandishi wetu alipomuuliza katibu mkuu Fabian Mtono alijinadi "kwa kweli ishu kubwa ilikuwa inatukwamisha ni mawasiliano na watu wa Damu salama maana bonanza letu linawalenga wao sasa bila wao kutupatia vifaa vya kutolea damu tusingeweza kufanya chochote kwa hiyo watu wa damu salama wamekubali kufanya kazi na sisi"pia katibu aliomba kwa makampuni pamoja na vikundi na mashirika binafsi kujitokeza kwa wingi kwa kuzamini bonanza hilo pamoja na kuchangia damu...pia kejo hiko mbioni kufanya mazungumzo yakinifu na meneja mahusiano wa mpango wa taifa wa damu salama ndugu Dkt Efesper Nkya..


KAMA KAWAIDA MAZOEZI NDIO MSINGI WETU MKUU


Sunday, 5 October 2014

KEJO KUANDAA BONANZA LA KUCHANGIA DAMU SIKU YA DAMU DUNIANI

Kile kikundi cha kijamii kinachopatikana maeneo ya Keko Mowlem kiitwacho Kejo Community wano itakualetea bonge la bonanza siku ya kuchangia damu.Bonanza hilo likiendana na uzinduzi mkubwa wa movie ya mwanachama wa kejo Bonanza hilo litapambwa na manguli ya bongo fleva pamoja na bendi za kisasa zinazofanya vizuri hapa Tanzania pia wasanii wa Bongo movies wameapa kutoa mchango wao kwa hali na mali....kejo inawaomba wapenda michezo na wote wenye moyo wa kusaidia waje kuchangia damu..na pia kejo inaomba ushirikano kwa kampuni atakae guswa na shughuli hii kwa kuzamini bonanza...