![]() |
Robert mlowoka mwenyekiti wa kejo akitoa risala kwa viongozi na wanachama |
![]() |
Utani wa hapa na pale ukiendelea |
![]() |
Mama mlezi akitoa shukrani kwa viongozi waliofika na kwa wanachama |
![]() |
Mama mlezi akiwa na mwenyekiti wa kejo |
![]() |
Safu ya wanachama wa kejo |
![]() |
Mda wa maakuli kwanza |
![]() |
Katibu akijichana na mwanachama wake |
![]() |
Mwenyekiti wa Magurumbasi Mh.ismail Rusheshumwa akiongea mambo machache na kuchangia shilingi laki moja(100,000/=) kwa kikundi |
![]() |
Mwekahazina akipokea fungu la laki moja kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa keko mwanga a mh.Elizaberth Tossy |
![]() |
Wanachama bora wa mwaka ndugu muddy na pendo wakipewa zawadi zao |
![]() |
Muda wa maakuli |
![]() |
Mwekahazina akitoa pongezi kwa wageni |
![]() |
Komandoo mama mlezi wa kikundi mam humphrey akitoa shukrani kwa niaba ya kikundi |
![]() |
Mama walezi wakipokea fungu kutoka kwa mgeni rasmi |
![]() |
Muda wa maakuli ukiendelea |
![]() |
Mwenyekiti Elizaberth Tossy akiongea na wanachama wa kejo |