Wednesday, 2 October 2013

KEJO NDANI YA KAOLE

Kiwanja cha mpira wa miguu enzi za mkoloni
Kejo pamoja
Nyumba za kitambo
Miaka 100 raundi kumi
Afisa habari akiegemea kaburi la kitambo
Mmbuyu wa maajabu
Tunaelekea huku
Msikiti wa kitambo
Kama kawaida
Picha ya pamoja ya wana kejo ndani ya makumbusho ya kaole
Haji ngasenga ndani ya beach ya kaole
Makaburi ya kale
Again ndani ya Makumbusho
Ndani ya Makumbusho
Afisa habari ndani ya beach ya kaole
Viwanja vya kale vya mpira wa miguu
Noel pamoja na driver wa safari yetu

Tuesday, 1 October 2013

UKITAKA KUFIKA MBALI NENDA NA KEJO

                                    Wanachama wa kejo wakipata supu baada ya kutoka mazoezini

HIZI NDO TIMU ZITAKAZO TIMUA VUMBI KATIKA LIGI YA NGO'MBE

Kejo community cup inatarajia kutimua vumbi tarehe 20/10/2013 katika uwanja wa nyumbani sigara,mshindi kwa ligi atapata kikombe pamoja na ngo'mbe mshindi wa pili kupta laki moja na wa tatu kupata elfu hamsini na hizi ndo timu 16 zitakazotimua vumbi viwanja vya sigara
1.MAGUTU F.C 2.UBESA F.C 3.KJ EXPRESS F.C 4.NUNGWI F.C 5.MWANGA HALL F.C 6.TIGO F.C 7.WAGIRIKI F.C 8.NINGA F.C 9.HERO'S F.C 10.CHOPA NA MADOLE 11.AZAM F.C 12.KANGAROO F.C 13.WASUMBUFU F.C 14.TP-MILAN F.C 15.TWALIPO F.C 16.DAWAS F.C Karibuni wote kutakuwa na kiingilio cha shillingi elfu moja(1000)kwa wapenzi wa timu na michezo kwa ujumla.