Tuesday, 1 October 2013

HIZI NDO TIMU ZITAKAZO TIMUA VUMBI KATIKA LIGI YA NGO'MBE

Kejo community cup inatarajia kutimua vumbi tarehe 20/10/2013 katika uwanja wa nyumbani sigara,mshindi kwa ligi atapata kikombe pamoja na ngo'mbe mshindi wa pili kupta laki moja na wa tatu kupata elfu hamsini na hizi ndo timu 16 zitakazotimua vumbi viwanja vya sigara
1.MAGUTU F.C 2.UBESA F.C 3.KJ EXPRESS F.C 4.NUNGWI F.C 5.MWANGA HALL F.C 6.TIGO F.C 7.WAGIRIKI F.C 8.NINGA F.C 9.HERO'S F.C 10.CHOPA NA MADOLE 11.AZAM F.C 12.KANGAROO F.C 13.WASUMBUFU F.C 14.TP-MILAN F.C 15.TWALIPO F.C 16.DAWAS F.C Karibuni wote kutakuwa na kiingilio cha shillingi elfu moja(1000)kwa wapenzi wa timu na michezo kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment