Moja ya mwanachama wa kejo akifurahia jambo |
Enock nasly akiteta jambo moja na wanachama hawapo pichani |
Hiyo ndo kejo kuoka mwisho ni fujo kiyeuyeu,haji,shemeji yetu kwa pot,pot,gidion kifai |
Moja kati ya madaraja matatu likiwa limebomoka kwa mvua,ukarabati unahitajika |
Dogo j moja ya mwanachama hodari wa kejo |
Hii ndio bendera ya kejo |
Wakati ulipofika sasa wa kukaribisha mwaka |
Nyama choma kwa mbali |
Kama kawaida mwenyekiti aliyeshika kibakuri cha supu asubuhi njema hiyo |
God kisungura ndani |
Hapa ndipo makao makuu ya kejo community |
Hapa napo ndipo sehemu ya mikutano yote ya kejo |
Mama mlezi wa kejo |
Kama kawa |
Imeshaiva hiyo |
Members wa kejo |
Mziki kwa mbali |
Kejo moja |
Maandalizi ya mchana |
No comments:
Post a Comment